2 Samueli 23:8 BHN

8 Yafuatayo ni majina ya mashujaa aliokuwa nao Daudi: Yosheb-bashebethi, Mtakmoni, aliyekuwa kiongozi wa wale watatu, yeye alipigana kwa mkuki wake, akaua watu 800 wakati mmoja.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:8 katika mazingira