2 Samueli 24:1 BHN

1 Kwa mara nyingine, Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia Waisraeli, akamchochea Daudi dhidi yao, akamwambia awahesabu watu wa Israeli na watu wa Yuda.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 24

Mtazamo 2 Samueli 24:1 katika mazingira