2 Samueli 24:15 BHN

15 Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi, tangu asubuhi hadi wakati uliopangwa. Watu 70,000 walikufa nchini kote kutoka Dani mpaka Beer-sheba.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 24

Mtazamo 2 Samueli 24:15 katika mazingira