18 Siku hiyohiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, “Panda juu, ukamjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Arauna, Myebusi.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 24
Mtazamo 2 Samueli 24:18 katika mazingira