2 Samueli 24:20 BHN

20 Arauna alipoangalia upande wa chini alimwona mfalme akimkaribia pamoja na watumishi wake, naye akatoka, akaenda na kumsujudia mfalme, akainama mpaka chini ardhini.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 24

Mtazamo 2 Samueli 24:20 katika mazingira