2 Samueli 24:5 BHN

5 Walivuka mto Yordani wakianzia kuhesabu watu tangu Aroeri na mto ulioko bondeni kuelekea Gadi hadi Yazeri.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 24

Mtazamo 2 Samueli 24:5 katika mazingira