2 Samueli 24:7 BHN

7 na kufika kwenye ngome ya mji wa Tiro, wakaingia kwenye miji yote ya Wahivi na Wakanaani. Kisha, walitoka wakaenda Negebu ya Yuda huko Beer-sheba.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 24

Mtazamo 2 Samueli 24:7 katika mazingira