9 Halafu Yoabu alimpelekea mfalme idadi ya watu. Katika Israeli kulikuwamo wanaume mashujaa 800,000 wenye ujuzi wa kutumia mapanga; na katika Yuda, kulikuwa na wanaume 500,000.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 24
Mtazamo 2 Samueli 24:9 katika mazingira