13 Daudi akamjibu, “Vema, nitafanya agano nawe. Lakini ninakutaka jambo moja kwamba kabla hujaniona sharti kwanza uniletee Mikali binti wa Shauli. Hapo utaniona.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 3
Mtazamo 2 Samueli 3:13 katika mazingira