2 Samueli 3:19 BHN

19 Abneri pia akazungumza na Wabenyamini, kisha akaenda mpaka Hebroni kumwambia Daudi kuhusu yale ambayo watu wote wa Israeli na kabila lote la Benyamini walipatana kutenda.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 3

Mtazamo 2 Samueli 3:19 katika mazingira