2 Samueli 3:23 BHN

23 Yoabu aliporudi akiwa na jeshi lake lote alilokuwa nalo, aliambiwa kwamba Abneri mwana wa Neri, alikuwa amekuja kumwona mfalme Daudi, naye amemuaga aende zake, naye ameondoka kwa amani.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 3

Mtazamo 2 Samueli 3:23 katika mazingira