2 Samueli 3:3 BHN

3 Kileabu, mzaliwa wake wa pili, mama yake alikuwa Abigaili, mjane wa Nabali kutoka Karmeli; Absalomu, mzaliwa wake wa tatu, mama yake alikuwa Maaka, bintiye Talmai mfalme wa Geshuri;

Kusoma sura kamili 2 Samueli 3

Mtazamo 2 Samueli 3:3 katika mazingira