30 Yoabu na ndugu yake Abishai walimuua Abneri kwa kuwa alikuwa amemuua ndugu yao Asaheli wakati wa vita huko Gibeoni.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 3
Mtazamo 2 Samueli 3:30 katika mazingira