2 Samueli 3:32 BHN

32 Abneri alizikwa huko Hebroni na mfalme aliomboleza kwa sauti akiwa kando ya kaburi, pia watu wengine wote walifanya vivyo hivyo.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 3

Mtazamo 2 Samueli 3:32 katika mazingira