5 Rekabu na Baana wana wa Rimoni Mbeerothi, wakaenda nyumbani kwa Ishboshethi. Walifika huko adhuhuri, Ishboshethi alipokuwa anapumzika nyumbani kwake.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 4
Mtazamo 2 Samueli 4:5 katika mazingira