2 Samueli 5:17 BHN

17 Wafilisti waliposikia kwamba Daudi amepakwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli, wote walitoka kwenda kumtafuta, lakini yeye alipata habari, akaingia ndani ya ngome.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 5

Mtazamo 2 Samueli 5:17 katika mazingira