2 Samueli 5:19 BHN

19 Basi, Daudi alimwuliza Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Daudi, “Nenda, maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 5

Mtazamo 2 Samueli 5:19 katika mazingira