2 Samueli 5:23 BHN

23 Daudi alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Usiwashambulie kutoka hapa ulipo, bali zunguka na kuwashambulia kutoka mkabala wa miti na miforosadi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 5

Mtazamo 2 Samueli 5:23 katika mazingira