2 Samueli 5:9 BHN

9 Daudi alikaa kwenye ngome hiyo, nao mji akauita, “Mji wa Daudi.” Daudi aliujenga mji kuuzunguka, akianzia Milo kuelekea ndani.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 5

Mtazamo 2 Samueli 5:9 katika mazingira