2 Samueli 6:21 BHN

21 Daudi akamwambia Mikali, “Nilikuwa mbele ya Mwenyezi-Mungu ambaye alinichagua mimi badala ya baba yako, na jamaa yake, ili kuniteua kuwa mkuu juu ya Israeli, watu wake Mwenyezi-Mungu, kwa hiyo mimi nitacheza tu mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 6

Mtazamo 2 Samueli 6:21 katika mazingira