2 Samueli 7:22 BHN

22 Kutokana na yale tuliyosikia, wewe Mwenyezi-Mungu ni mkuu; hakuna aliye kama wewe, na hakuna Mungu mwingine ila wewe.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 7

Mtazamo 2 Samueli 7:22 katika mazingira