2 Samueli 7:9 BHN

9 Tangu wakati huo nimekuwa pamoja nawe kokote ulikokwenda na nimewaangamiza adui zako wote mbele yako. Nitakufanya kuwa maarufu kama wakuu wengine duniani.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 7

Mtazamo 2 Samueli 7:9 katika mazingira