2 Samueli 8:11 BHN

11 Zawadi hizo, pamoja na fedha na dhahabu alizokuwa ameziteka kwa mataifa yote aliyoyashinda, aliziweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu,

Kusoma sura kamili 2 Samueli 8

Mtazamo 2 Samueli 8:11 katika mazingira