2 Samueli 8:14 BHN

14 Akaweka kambi za kijeshi katika Edomu yote. Nao Waedomu wote wa huko wakawa watumishi wake. Mwenyezi-Mungu alimpa Daudi ushindi kokote alikokwenda.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 8

Mtazamo 2 Samueli 8:14 katika mazingira