2 Samueli 9:11 BHN

11 Kisha, Siba akamwambia mfalme, “Mimi mtumishi wako, nitafanya yote kulingana na amri yako.” Basi, Mefiboshethi akawa anapata chakula chake mezani pa Daudi, kama mmojawapo wa watoto wa mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 9

Mtazamo 2 Samueli 9:11 katika mazingira