2 Samueli 9:7 BHN

7 Daudi akamwambia, “Usiogope. Mimi nitakutendea wema kwa ajili ya baba yako Yonathani. Ile ardhi yote iliyokuwa ya babu yako Shauli nitakurudishia. Nawe, daima utakula mezani pangu.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 9

Mtazamo 2 Samueli 9:7 katika mazingira