11 Hapo Danieli akamwendea mtumishi aliyewekwa na towashi mkuu kumlinda yeye na wenzake kina Hanania, Mishaeli na Azaria, akamwambia,
Kusoma sura kamili Danieli 1
Mtazamo Danieli 1:11 katika mazingira