17 Mungu aliwajalia vijana hao wanne maarifa na ujuzi katika elimu na hekima. Zaidi ya hayo, alimjalia Danieli kipawa cha kufasiri maono na ndoto.
Kusoma sura kamili Danieli 1
Mtazamo Danieli 1:17 katika mazingira