Danieli 1:19 BHN

19 Mfalme alipozungumza nao wote, hakuna walioonekana kuwa bora kama Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria. Basi, wakakubaliwa kumhudumia mfalme.

Kusoma sura kamili Danieli 1

Mtazamo Danieli 1:19 katika mazingira