Danieli 10:16 BHN

16 Kisha, mmoja mwenye umbo la binadamu, aliigusa midomo yangu, nami nilifungua midomo yangu na kumwambia huyo aliyesimama karibu nami, ‘Ee bwana, maono haya yameniletea maumivu makali hata nimeishiwa nguvu.

Kusoma sura kamili Danieli 10

Mtazamo Danieli 10:16 katika mazingira