Danieli 11:14 BHN

14 Wakati huo watu wengi watamwasi mfalme wa kusini. Baadhi ya watu wakatili wa taifa lako Danieli, wataasi ili kutekeleza maono haya, lakini hawatafaulu.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:14 katika mazingira