Danieli 11:2 BHN

2 Sasa nitakueleza ule ukweli wa mambo haya.“ ‘Tazama, wafalme wengine watatu wataitawala nchi ya Persia. Hao watafuatwa na mfalme wa nne ambaye atakuwa tajiri kuliko wale waliomtangulia. Wakati wa kilele cha nguvu na utajiri wake, ataanza kuushambulia ufalme wa Ugiriki.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:2 katika mazingira