Danieli 11:8 BHN

8 Atazibeba sanamu za kusubu za miungu yao na vyombo vya thamani vya fedha na dhahabu mpaka nchini Misri. Kwa muda wa miaka kadhaa, mfalme wa kusini hatamshambulia mfalme wa kaskazini.

Kusoma sura kamili Danieli 11

Mtazamo Danieli 11:8 katika mazingira