Danieli 12:8 BHN

8 Nilisikia lakini sikuelewa. Ndipo, nikamwuliza, ‘Bwana wangu, mwisho wa mambo haya yote utakuwaje?’

Kusoma sura kamili Danieli 12

Mtazamo Danieli 12:8 katika mazingira