Danieli 2:1 BHN

1 Mnamo mwaka wa pili wa utawala wake, mfalme Nebukadneza aliota ndoto, akawa na wasiwasi sana rohoni hata usingizi ukamtoweka.

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:1 katika mazingira