Danieli 2:14 BHN

14 Basi, Danieli, kwa tahadhari na busara, alimwendea Arioko, mkuu wa kikosi cha walinzi wa mfalme na ambaye alipewa jukumu la kuwaua wenye hekima wa Babuloni,

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:14 katika mazingira