Danieli 2:16 BHN

16 Ndipo Danieli alipomwendea mfalme na kumwomba ampe muda ili aweze kumjulisha mfalme maana ya ndoto yake.

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:16 katika mazingira