Danieli 2:19 BHN

19 Ndipo Danieli alipofunuliwa fumbo hilo usiku katika maono. Naye Danieli akamshukuru Mungu wa mbinguni,

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:19 katika mazingira