Danieli 2:28 BHN

28 Lakini, yuko Mungu mbinguni ambaye hufumbua mafumbo, naye amekujulisha, ee mfalme Nebukadneza, mambo yatakayotukia siku zijazo. Ndoto yako na maono yaliyokujia kichwani mwako ulipokuwa umelala ni haya:

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:28 katika mazingira