Danieli 2:47 BHN

47 Mfalme akamwambia Danieli, “Hakika, Mungu wako ni Mungu wa miungu na Bwana wa wafalme, na ndiye afumbuaye mafumbo kwa sababu umefaulu kunifumbulia fumbo hili.”

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:47 katika mazingira