Danieli 2:9 BHN

9 kwamba msiponijulisha ndoto hiyo, adhabu yenu ni moja. Mmepatana kunidanganyadanganya na kunilaghailaghai huku muda unapita. Niambieni ndoto hiyo, nami nitajua kuwa mnaweza kunijulisha maana yake.”

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:9 katika mazingira