Danieli 3:8 BHN

8 Wakati huo, baadhi ya Wakaldayo wakajitokeza na kuwashtaki Wayahudi. Walimwambia mfalme Nebukadneza,

Kusoma sura kamili Danieli 3

Mtazamo Danieli 3:8 katika mazingira