Danieli 4:1 BHN

1 “Mimi mfalme Nebukadneza, nawaandikia watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote kote duniani. Nawatakieni amani tele!

Kusoma sura kamili Danieli 4

Mtazamo Danieli 4:1 katika mazingira