Danieli 4:22 BHN

22 basi, ni wewe ee mfalme ambaye umekuwa mkubwa na mwenye nguvu. Ukuu wako umefika mpaka mbinguni, na ufalme wako umeenea mpaka miisho ya dunia.

Kusoma sura kamili Danieli 4

Mtazamo Danieli 4:22 katika mazingira