3 Jinsi gani zilivyo kubwa ishara zake Mungu!Maajabu yake ni makuu mno!Ufalme wake ni ufalme wa milele;enzi yake yadumu kizazi hata kizazi.
Kusoma sura kamili Danieli 4
Mtazamo Danieli 4:3 katika mazingira