Danieli 5:13 BHN

13 Hapo, Danieli akaletwa mbele ya mfalme, naye mfalme akamwuliza: “Je, wewe ndiwe Danieli, mmoja wa mateka aliowaleta baba yangu mfalme, kutoka nchi ya Yuda?

Kusoma sura kamili Danieli 5

Mtazamo Danieli 5:13 katika mazingira