Danieli 5:29 BHN

29 Hapo, mfalme Belshaza akaamuru Danieli avishwe mavazi rasmi ya zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni. Ikatangazwa kuwa Danieli atashikilia nafasi ya tatu katika ufalme.

Kusoma sura kamili Danieli 5

Mtazamo Danieli 5:29 katika mazingira