Danieli 6:24 BHN

24 Mfalme akaamuru wale watu waliomchongea Danieli wakamatwe, nao wakatupwa ndani ya lile pango la simba pamoja na wake zao na watoto wao. Nao, hata kabla hawajagusa chini, simba waliwashambulia na kuivunjavunja mifupa yao.

Kusoma sura kamili Danieli 6

Mtazamo Danieli 6:24 katika mazingira