Danieli 7:10 BHN

10 Kutoka kiti hicho kijito cha moto kilibubujika, kikatiririka. Maelfu walimtumikia, na mamilioni walisimama mbele yake. Mahakama ikawa tayari kwa kikao, na vitabu vikafunguliwa.

Kusoma sura kamili Danieli 7

Mtazamo Danieli 7:10 katika mazingira