14 Akapewa mamlaka, utukufu na ufalme, ili watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote wamtumikie. Utawala wake ni wa milele na ufalme wake kamwe hautaangamizwa.
Kusoma sura kamili Danieli 7
Mtazamo Danieli 7:14 katika mazingira